


Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 29, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa

DK.SAMIA ATAJA VIPAUMBELE 100 ATAKAYOANZA NAVYO KATIKA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA
*Asema atapiga marufuku hospitali zote nchini kuzuia miili ya marehemu inayodaiwa *Kuanzisha gridi ya maji ya Taifa kwa ajili ya kuwa na vyanzo by uhakika vya maji *Aahidi kuendeleza mashauriano na wadau kwa lengo la kufanikisha Katiba Mpya Na Said Mwishehe,Michuzi TV MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameeleza…

BALOZI MULAMULA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MJUMBE WA WANAWAKE AU, APONGEZWA
Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amekabidhiwa rasmi Ofisi ya Mjumbe Maalum wa Masuala ya Wanawake Amani na Usalama Barani Afrika, aliyoteuliwa mwaka huu. Balozi Mulamula amekabidhiwa ofisi hiyo leo, jijini Addis Ababa, Ethiopia na Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, (AUC), Mahmoud Ali Youssouf, ambaye ni…

Kocha Abdul Saleh amrithi Mngazija Uhamiaji FC
KIKOSI cha Uhamiaji FC kimemtambulisha Abdul Saleh Mohammed kuwa kocha mkuu wa timu hiyo akichukua nafasi ya Ali Bakar Mngazija. Mngazija ambaye ametimkia Coastal Union ya Tanga, aliitumikia Uhamiaji FC kwa msimu mmoja pekee wa 2024-2025 ambapo timu hito ilimaliza nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar. Mbali na kufanya maboresho ya benchi la…

SAMIA SCHOLARSHIP YACHOCHEA UBUNIFU WA KISASA NELSON MANDELA, TAASISI YAANZA KUONA MATUNDA
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Prof. Maulilio Kipanyula, akisoma hotuba wakati wa Mahafali ya 11 yaliyofanyika Agosti 28, 2025, ambapo jumla ya wahitimu 111 walitunukiwa shahada mbalimbali za Umahiri na Uzamivu. …… TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imejivunia kutimiza malengo matano…

Uzinduzi Simba Day waleta shangwe Mafinga
Mashabiki na wa wananchama wa Simba Tawi la Mafinga na maeneo mbalimbali nje ya Mkoa wa Iringa, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uzinduzi wa Wiki ya Simba Day unaotarajiwa kufanyika Agosti 30, 2025, wilayani Mufindi mkoani hapa, huku fursa ya kiuchumi ikitajwa kuwanufaisha. Kauli hiyo imetolewa leo Agosti 28, 2025 na Mwenyekiti wa Tawi…

Singapore na Tanzania zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
………….. Serikali ya Singapore na Tanzania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kiuchumi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa bandari, utalii, sekta ya fedha, usafirishaji, biashara na uwekezaji, elimu na kilimo ili kuchochea kasi ya maendeleo ya Taifa na wananchi wake. Makubaliano hayo ambayo yatatekelezwa kupitia Programu ya Ushirikiano wa Singapore (Singapore Cooperation Program), yamefikiwa…


Mahakama Kenya yazuia ujenzi wa kanisa Ikulu
Dar es Salaam. Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo. Agizo hilo la muda pia linazuia ujenzi kama huo katika Ikulu za Rais zilizoko maeneo mbalimbali nchini au hata jengo lolote lenye mafungamano na dini. Kwa mujibu wa…