Waarabu wavamia kambi ya Simba, mchongo mzima upo hivi
BAADA ya Simba kufanikiwa kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu na kupoteza mbele ya RS Berkane, kuna jambo linakwenda kutokea likimuhusu kiungo muhimu wa kikosi hicho ambaye anatakiwa na Waarabu. Achana na Steven Mukwala ambaye hivi karibuni Mwanaspoti ilikuhabarisha kwamba Waarabu wa Morocco, RS Berkane wamevutiwa na uwezo wake na kuweka mezani…