DKT. BITEKO AONGOZA WANANCHI BUKOMBE KUJIANDIKISHA DAFTARI LA MPIGA KURA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye foleni ya kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura katika Kituo cha Kujiandikisha cha Shule ya Msingi Bulangwa kilichopo Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita Oktoba 11, 2024 ikiwa ni maandalizi ya kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024.(Picha na…