Raia wa Malawi Wanapiga Kura Kumchagua Rais Leo – Global Publishers
Last updated Sep 16, 2025 Raia wa Malawi, hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, Wabunge na madiwani, uchaguzi ambao unatarajiwa kuamua mustakabali wa taifa hilo kuhusu uchumi na vita dhidi ya rushwa. Upinzani unatarajiwa kuwa kati ya rais wa sasa mchungaji Lazarus Chakwera na aliyekuwa rais wa nchi…