Tirdo wanadi maabara inayozuia upotevu wa umeme
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) limewataka wenye viwanda na wafanyabiashara kutumia maabara za kupima na kutambua upotevu wa umeme ili kupunguza gharama za uendeshaji na kuongeza ufanisi katika uzalishaji. Maabara hiyo inamwezesha mtumiaji wa umeme kwenye majengo makubwa, viwandani na majumbani kupunguza matumizi ya nishati hiyo…