
Serikali kutafuta ufumbuzi biashara ya samaki
Dodoma. Serikali imeahidi kumaliza vikwazo vyote kwa wafanyabiashara wa mazao ya samaki, ikiwemo wanaosafirisha nje ya nchi ili biashara hiyo ilete tija kwa uchumi wa nchi. Ahadi hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Uvuvi nchini, Dk Baraka Sekadende jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na washiriki wa kongamano la tathimini baada ya utafiti kuhusu mazao ya samaki. Warsha…