EWURA INADHIBITI MAMLAKA ZA MAJI 85 MIJINI
:::::: Hadi kufikia Aprili, 2015, EWURA ilikuwa ikizidhibiti kiufundi na kiuchumi jumla ya mamlaka za maji na usafi wa mazingira 85 zilizoko katika miji mikuu ya mikoa, miji ya wilaya na miji midogo kupitia Sheria ya EWURA Sura Na. 414. Sheria hiyo inaipa EWURA majukumu ya kutoa leseni kwa mamlaka za maji na kusimamia masharti…