Sababu za Profesa Kabudi, Lukuvi kuteuliwa tena
Dar es Salaam. Ilionekana kama vile Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anampigia chapuo mbunge wa Kilosa (CCM), Profesa Palagamba Kabudi, achaguliwe tena na wananchi wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa mwakani kwa kauli yake mbele ya wananchi jimboni humo Agosti 2, 2024. Aliwaambia wananchi hao: “Endeleeni kuniletea Kabudi.” Kabla ya kauli hiyo, akiwa…