
Tanganyika Packers yafurika | Mwananchi
Dar es Salaam. Maelfu ya wapenzi, wafuasi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kushiriki uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025. Hadi kufikia saa 8:30 mchana katika viwanja vya Tanganyika Packers, unapofanyika mkutano huo wa ufunguzi ulikuwa umefurika maelfu ya wananchi. Walinzi wanaosimamia usalama, ilipofika saa 7:16 mchana walizuia watu kuendelea kuingia kwa…