RELI ILIYOSIMAMA KWA KIPINDI CHA MIAKA 20 YAFUFULIWA NA KUANZA KUFANYA KAZI
Na Oscar Assenga, TANGA. HATIMAYE Reli iliyokuwa ikitoka Bandari ya Tanga kupitisha shehena za Mizigo kuelekea mikoa mbalimbali ikiwemo ya Kanda ya Kaskazini ambayo ilisimama kufanya kazi kwa kipindi cha miaka 20 imezinduliwa rasmi kuanza kuendelea na huduma zake baada ya kufanyiwa maboresho makubwa. Halfa ya uzinduzi wa Reli hiyo ulifanywa Octoba 7 mwaka huu na…