Tanzania Mnufaika wa Mpango wa TEF wa Ujasiriamali Afrika 2026

Tanzania imepata uwakilishi miongoni mwa wanufaika wa Mpango wa Ujasiriamali wa Taasisi ya Tony Elumelu (TEF) wa mwaka 2026, huku wajasiriamali 12 wakichaguliwa katika kundi la kwanza la washindi waliotangazwa barani Afrika. Hayo yalitangazwa Transcorp Hilton Abuja, ambapo wajasiriamali 1,951 walibainishwa kama sehemu ya wanufaika wapatao 3,200 watakaosaidiwa na TEF kwa mwaka huu. Uteuzi huo…

Read More

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MIRADI YA TBA MASAKI

              ******* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kufuatia ziara ya kukagua nyumba za makazi zilizojengwa eneo la Masaki, jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Masanja Kadogosa, amesema majengo hayo…

Read More

Madereva bodaboda Tabora watoa mwelekeo mpya wa usafiri

Tabora. Chama cha Madereva Bodaboda Mkoa wa Tabora umewaonya wanachama wake kutobeba abiria wanaokwenda nje ya mji nyakati za usiku wakihofia usalama wao. Uamuzi huo unakuja baada ya kurejea tena kwa matukio ya uhalifu kwa sura nyingine ya kutegewa waya barabarani usiku, kuuawa na pikipiki zao kuchukuliwa. Akizungumza leo Machi 24, 2026 Mwenyekiti wa chama…

Read More

Siku 9 ngumu za Pedro Yanga mabosi wakikutana Dar

MABOSI wa Yanga wameshafanya uamuzi unaomuweka katika wakati mgumu kocha mkuu wa kikosi hicho, Pedro Goncalves, ikielezwa hivi sasa anahesabu siku ndani ya klabu hiyo. Kuanzia leo Machi 24, 2026 hadi Aprili 2, 2026, kuna takribani siku tisa zimebaki katika kipindi hiki ambacho Ligi Kuu Bara imesimama kupisha Kalenda ya Fifa na ndiyo muda ambao…

Read More

Nyuma ya pazia dili la Mpanzu Simba

“NINA mipango naye.” Ni kauli aliyoitoa Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker juu ya kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho, Elie Mpanzu ambaye jana klabu hiyo ilitangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili na kuzima kabisa tetesi zilizokuwa zimezagaa kuhusu mwisho wa msimu huenda angeondoka baada ya mkataba wake kumaliuzika. Simba imetekeleza maagizo ya Barker ambaye anaonekana…

Read More

Gamondi ataja mawili Stars ikienda Rwanda

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Miguel Gamondi amesema kikosi chake kipo katika maandalizi mazuri kuelekea mashindano ya FIFA Series, akisisitiza lengo kuu ni kujenga timu yenye ushindani na uwezo wa kufanya vizuri. Taifa Stars itatupa karata yake ya kwanza huko Rwanda, Machi 26 mwaka huu kwa kucheza dhidi ya Liechtenstein. Baada…

Read More

Zanzibar yaahidi makubwa mchezo wa Kabaddi duniani

BAADA ya kushindwa kufanya vizuri katika mashindano ya dunia ya Kabaddi Wanawake, timu ya taifa ya Zanzibar imesema inajipanga upya ili wakati ujao ifike mbali zaidi. Hayo yamesemwa na Katibu Msaidizi wa Shirikisho la Mchezo wa Kabaddi Zanzibar, Ramadhan Mrisho, alipozungumza na Mwanaspoti, huku akibainisha, kukosa uzoefu ndiyo sababu ya kushindwa kufanikiwa kwao. Amesema timu…

Read More

Chadema ni suala la muda kama ‘ndiyo’ au hapana

Dodoma. Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo. Hadi sasa, bado haijafahamika ni lini uamuzi wa mwisho utatolewa, huku jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, Mwarija…

Read More