
Maeneo 168 yaathiriwa mabadiliko tabianchi Zanzibar
Unguja. Jumla ya maeneo 168 ya fukwe, makazi na miundombinu ya barabara yameathirika na mabadiliko ya tabianchi kisiwani hapa, kati ya hayo 25 Unguja na 143 kutoka Pemba. Kutokana na athari hizo, Serikali imeanzisha Mamlaka ya Mazingira yenye kitengo maalumu cha mabadiliko ya tabianchi chenye jukumu la kutoa elimu kwa jamii juu ya athari za…