Wasira ataja ishara ya ushindi kwa CCM uchaguzi mkuu
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema kuwa Watanzania wako tayari kwa uchaguzi na kwamba, idadi wanaoshiriki kwenye mikutano ya hadhara kusikiliza sera za wagombea ni ishara tosha. Ameyasema hayo leo Alhamisi Septemba 25, 2025 wakati wa mkutano wa kampeni kunadi sera za chama hicho, ambapo alikuwa mgeni rasmi. Amesema mikutano…