
Kesi ya Mpina kuenguliwa urais yasikilizwa kwa njia ya mtandao
Dodoma. Kesi ya Luhaga Mpina wa ACT -Wazalendo dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) sasa inasikilizwa kwa njia ya mtandao. Chama cha ACT-Wazalendo kimefungua shauri la maombi kuhusiana na uteuzi wa mgombea wake wa nafasi ya urais, Luhaga Mpina, baada ya INEC kumzuia kurejesha fomu yake…