Mfaransa aukubali mziki wa Doumbia, Andabwile
BAADA ya kupoteza mbele ya Yanga katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali, Kocha wa Wiliete Benguela ya Angola, Bruno Ferry, amekubali ubora wa mastaa wa wapinzani hao, huku Mohamed Doumbia akimshtua. Bruno raia wa Ufaransa ambaye aliwahi kuifundisha Azam akiwa kocha msaidizi, sasa ni kocha mkuu wa kikosi cha…