NMB yafadhili ziara ya kibiashara ya wajasiriamali 28 nchini China
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imefadhili ziara ya kibiashara ya wafanyabiashara 28, ambayo inalenga kuwapa uzoefu wa moja kwa moja wa masoko ya China na kuwaonesha fursa za biashara za kimataifa. Ziara hii ni sehemu ya jitihada za benki hiyo kuimarisha ushindani wa wateja wake katika soko la kimataifa na kuwasaidia kupata maarifa…