
TPA TANGA YAELEZA NAMNA INAVYOHUDUMIA SHEHENA ZA MAGARI ZINAZOPITA KWENYE BANDARI HIYO
Na Oscar Assenga,TANGA MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bandari ya Tanga imesema kwamba wanatumia umakini mkubwa na ufanisi katika kuhudumia shehena mbalimbali zinazopita kwenye Bandari hiyo ikiwemo ya magari ambayo imekuwa ikiongezeka kila mara Hayo yalisemwa na Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga Bw. Peter Millanzi alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizosambaa…