Nasser bingwa Africa, Patel Mkwawa Rally

DEREVA Mtanzania, Yassin Nasser na msoma ramani Mganda, Ally Katumba ndio mabingwa wa Afrika kwa mwaka 2025 licha ya kumaliza nafasi ya tatu katika raundi ya tano ya ubingwa wa mbio za magari wa Afrika zilizomalizika jana Jumapili. Dereva huyo aliyekuwa akiendesha gari aina ya Ford Fiesta R5 alimaliza nafasi ya tatu kwa upande wa…

Read More

CCM yaahidi kuendeleza jitihada kukuza zao la korosho

Mtwara. Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendeleza mapinduzi katika sekta ya kilimo, akisisitiza kuwa Serikali imewekeza kwa kiwango kikubwa katika ruzuku ya pembejeo ili kuongeza uzalishaji, hasa wa korosho na mazao mengine kote nchini. Akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Septemba 26, 2025 mkoani Mtwara, Samia amesema katika…

Read More

Italia Yaadhimisha Siku ya 10 ya Ubunifu Duniani

Balozi wa Italia nchini Tanzania, Giuseppe Sean Coppola, amesema kuwa Italia inaadhimisha toleo la 10 la Siku ya Ubunifu wa Italia Duniani, tukio linalolenga kuonesha mchango wa nchi hiyo katika ubunifu wa kimataifa. Amesema mpango huo umeanzishwa na Wizara ya Mambo ya Nje pamoja na Wizara ya Utamaduni ya Italia, ukiwa na lengo la kukuza…

Read More

Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini

Dar es Salaam. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewataka Watanzania kudumisha amani, utulivu na mshikamano katika taifa, kwani bila amani hakuna mafanikio yanayoweza kufikiwa. Rais Mwinyi amesema hayo leo Machi mosi, 2026, katika mashindano ya kimataifa ya Quran yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikma, yakikutanisha washiriki 26 kutoka mataifa…

Read More

Wanawake wahimizwa kuchangamkia fursa sekta ya usuluhishi

Dar es Salaam. Wakati sekta ya Utatuzi wa Migogoro kwa Njia Mbadala (ADR) ikiendelea kukua kwa kasi duniani ikiwemo Tanzania, wadau wamewataka wanawake kujitokeza na kuchangamkia fursa hiyo kwani bado inatawaliwa zaidi na wanaume. Kwa mujibu wa takwimu za tafiti mbalimbali barani Afrika, asilimia 72 ya wasuluhishi ni wanaume huku wanawake wakiwa ni asilimia 28…

Read More

‘Harakati ya Haki za Binadamu ya Korea Kaskazini inakabiliwa na shida kubwa tangu ilipoanza miaka ya 1990’ – maswala ya ulimwengu

na Civicus Jumatatu, Septemba 29, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Civicus anajadili nafasi ya Civic ya Korea Kaskazini na Hanna Song, mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Hifadhidata ya Haki za Binadamu za Korea Kaskazini (NKDB). Imewekwa katika Seoul, Korea Kusini, NKDB hati za ukiukwaji wa haki za binadamu huko Korea Kaskazini kupitia ushuhuda kutoka…

Read More