BOTRA WAPANGA MIKAKATI WA KUBORESHA CHAMA CHAO.

Wanachama wa Chama cha Wastaafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BOTRA) wamefanya mkutano mkuu wa mwaka na kujadili ya Mpango Mkakati wa BOTRA wa miaka mitatu, 2025 hadi 2027. Mpango Mkakati huo unalenga kuongeza idadi ya wanachama, kuongeza motisha kwa wanachama, kuendeleza uanachama hai, kupanua uwezo wa chama kimawasiliano kwa ajili ya kuwafikia kwa wakati…

Read More

THRDC yalaani madai kukamatwa kina Lissu, waandishi wa habari

Dar es Salaam. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), umeungana na wadau wengine kulaani kukamatwa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanahabari wakielekea katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani jijini Mbeya. THRDC imetoa tamko hilo  leo Jumatatu, Agosti 12, 2024, ikidai takribani watu 300 wamekamatwa na Jeshi la…

Read More

WAPIGAKURA 62,207 WATARAJIWA KUPIGAKURA HANDENI MJINI OKT.29

Augusta Njoji na Job Karongo, Handeni TC ZIKIWA zimesalia siku tisa Watanzania kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Handeni Mjini, Amina Waziri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura. Akizungumza kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo jimboni hapo, Amina amesema maandalizi…

Read More

Bocco kukabidhiwa unahodha JKT, Ilanfya ndani

MSHAMBULIAJI John Bocco anatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa na JKT Tanzania na tayari amepiga picha za utambulisho na kaingiziwa pesa zake za usajili. Mwanaspoti imepata taarifa za ndani kutoka kwa uongozi wa timu hiyo zikieleza kwamba Bocco ndiye atakayekuwa nahodha mpya wa kikosi hicho. Bocco amesajiliwa na JKT Tanzania kwa mkataba wa mwaka mmoja…

Read More

MAGEUZI YA STAKABADHI ZA GHALA YAONGEZA TIJA KWA WAKULIMA

  Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga,akizungumza wakati akizindua Bodi mpya ya Wakurugenzi wa WRRB) hafla iliyofanyika leo Disemba 12,2025 jijini Dodoma. ……. Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesema Bodi ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeleta mageuzi makubwa katika Biashara ya mazao nchini katika kipindi…

Read More

Familia, Zungu walivyomuelezea Jenista Mhagama

Dar es Salaam. Mtoto wa marehemu, Victor Mhagama, amesema wakati wengine wakimuita Jenista Mhagama kiongozi, wao walimuita mama na katekista kwa sababu alikuwa mwalimu wa dini nyumbani. “Tulimpenda sana mama, tuliishi naye kwa karibu na upendo naye aliunganisha sana familia yetu,” amesema Mhagama. Ametoa kauli hiyo wakati akitoa neno la familia katika ibada ya kuaga…

Read More