
REA YAENDELEA KUWAUNGANISHIA UMEME WANANCHI MKOANI MANYARA
::::::;; Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeendelea kutekeleza miradi ya nishati kwa kuunganisha wateja umeme katika maeneo ya vijijini ili kuboresha na kuhamasisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi mkoani Manyara. Hayo yamebaibishwa leo Agosti 27, 2025 na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu,…