Polisi yaanza kwa kipigo Zanzibar

UHAMIAJI imejiandikia rekodi ya kuwa timu ya kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar kufunga bao na kupata ushindi ikiwa ugenini huku mchezaji wake akionyeshwa kadi nyekundu. Mechi iliyofanyika Septemba 25, 2025 kwenye Uwanja wa Mao A, Mjini Unguja, dakika 90 zilimalizika kwa Uhamiaji kutoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi iliyopanda daraja msimu huu….

Read More

Wadau waona fursa mpya utekelezaji mapendekezo ya tume ya kodi

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi kuwasilisha mapendekezo 284 mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, wadau wamesema kuwa, ikiwa kilichosemwa kitatekelezwa kikamilifu, mageuzi makubwa yatashuhudiwa. Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa ni mabadiliko katika sekta ya kodi, ikiwamo kubadili jina la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…

Read More

Viwanja vya Ndege Nchini ni salama

SERIKALI imetoa kauli ya usalama na uthabiti wa miundombinu ya viwanja vya ndege nchini huku ikisema maboresho makubwa ya kiteknolojia yaliyofanyika yanawezesha safari za anga kuwa salama. Katika kuhakikisha viwango vya kimataifa vinazingatiwa, Tanzania imekuwa ikifanya kazi kwa karibu na Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO). Msemaji amebainisha kuwa ukaguzi wa hivi karibuni…

Read More

Radi yaua wawili Morogoro | Mwananchi

Morogoro. Mvua zinazoendelea kunyesha zimeacha majonzi baada ya watu wawili kupoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa kwa kupigwa na radi Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Februari 24, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema tukio hilo limetokea usiku wa jana Jumatatu Februari 23,2026 katika kitongoji cha…

Read More