Kidumo aahidi kukamilisha miradi ya maendeleo Njoro
Moshi. Mgombea udiwani wa Njoro, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Zuberi Kidumo amewaomba wananchi kumpa ridhaa nyingine ya kuongoza kata hiyo ili aweze kukamilisha miradi ya maendeleo iliyoanzishwa, ikiwamo ya barabara na ujenzi wa Zahanati ya Njoro. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Reli, Kidumo amesema kwa kipindi cha miaka mitano aliyohudumu kama…