ONGEA NA AUNT BETTIE: Baada ya kuzaa sitamani kurudi kazini, nifanyeje?
Dar es Salaam. Nimekaa likizo ya uzazi ya miezi mitatu cha kushangaza baada ya kumaliza sitamani kufanya kazi, muda mwingi natamani nibaki nyumbani nicheze na mtoto wangu. Kila nikijitahidi nashindwa nahisi kabisa nitapoteza kazi. Nishauri nifanye nini ili niwe sawa nirudi kazini kama ilivyokuwa zamani. Baada ya likizo ya uzazi, wanawake wengi hupitia mabadiliko makubwa…