Mgombea Urais Mpina Awekewa Mapingamizi Matatu – Global Publishers
Chama cha ACT Wazalendo kimethibitisha kuwa Mgombea wake wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, amewekewa mapingamizi matatu ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na wagombea urais wa vyama vya NRA na AAFP. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo,…