Safari ya milima na mabonde ya wanawake Tanzania
Dar es Salaam. Zaidi ya nusu karne tangu kuanzishwa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Tanzania imepiga hatua kadhaa katika kuinua nafasi ya wanawake katika nyanja mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, pamoja na mafanikio hayo, changamoto kama mfumo dume, ukosefu wa fursa sawa na vitendo vya ukatili wa kijinsia bado vinaendelea kuwa…