TUGHE KUWANOA WAFANYAKAZI NA WAAJIRI ILI KUBORESHA UTENDAJI KAZI
:::::::::::: 14 Septemba 2025, ARUSHA Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimeandaa mafunzo yatakayowakutanisha Wafanyakazi na Waajiri yanayojulikana kama “Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE yatakayofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 15-18 Septemba 2025. Mafunzo hayo muhimu yanatarajia kuwakutanisha takribani washiriki 1000 kutoka kutoka Serikalini na Taasisi za Serikali na…