URITHI WA LINA NKYA WAENDELEA KUDUMISHWA KUPITIA MASHINDANO YA GOFU
MASHINDANO ya Lina PG Tour msimu wa nne yameanza kutimua vumbi katika viwanja vya Gymkhana mkoani Morogoro yakilenga kuendeleza urithi wa marehemu Lina Nkya, nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya wanawake katika mchezo wa gofu. Mashindano haya yaliyoanzishwa mwaka 2024 na familia ya Said Nkya yamekuwa sehemu ya kumuenzi Lina, aliyefahamika kwa mapenzi…