
Mpina, INEC sasa mwendo wa kanuni, sheria
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimeingia vitani na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) baada ya mgombea wake wa urais, Luhaga Mpina kuenguliwa katika mchakato wa uchaguzi mkuu, hatua iliyokilazimu chama hicho kwenda mahakamani kupinga uamuzi huo kikidai ni batili na unadumaza misingi ya demokrasia. Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi, pingamizi dhidi…