KUTOKA NDANI YA JIMBO LA KIBAMBA JIONI YA LEO.

Picha mbalimbali za matukio ya Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika leo Septemba 29,2025 katika viwanja vya Malamba Mawili,Jimbo la Kibamba wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam.  

Read More

Tujifunze kwa Finland utoaji elimu ya fedha

Fikiria mtoto wa miaka 13 tayari anaelewa kuweka akiba, kupanga bajeti, au kujaribu biashara ndogondogo. Katika makuzi ni umri mzuri wa kujenga na kuzoesha kwa urahisi zaidi kuwa sehemu ya maisha ya mtu. Nchi ya Finland utoaji wa elimu ya umezingatia msingi huo, programu maalum kujifunza masuala ya fedha binafsi na kipato kwa vitendo maarufu…

Read More

‘Maisha yetu yamekatwa’, wanasema wakulima wa Benki ya Magharibi mbele ya Mavuno ya Mizeituni – Maswala ya Ulimwenguni

Kama maelfu ya wakulima wa Palestina, anakabiliwa na vizuizi vinavyoongezeka kutoka kwa vikosi vya Israeli na walowezi, ambao wamefanya msimu wa mavuno ya mizeituni – kuanzia Septemba hadi Novemba – wakati wa kutokuwa na uhakika na mapambano. Katika miaka ya hivi karibuni, Shirika la Chakula na Kilimo la UN (Fao) imeunga mkono wakulima wa mizeituni…

Read More

FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze

Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa mlaji, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Kumlinda Mlaji duniani yanayotarajiwa kufanyika Machi 31, 2026. Elimu hiyo imelenga kuwajengea wananchi uelewa kuhusu namna ya kutambua bidhaa na…

Read More