
Watumishi Mkinga waonywa lugha chafu wanapotoa huduma
Mkinga. Watumishi wa Serikali wilayani Mkinga, mkoani Tanga, wameonywa kuepuka matumizi ya lugha za matusi au dharau wanapotoa huduma kwa wananchi, kwani tabia hiyo inaweza kuathiri utoaji wa huduma bora katika ofisi za umma. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Omari Mashaka, wakati wa mafunzo elekezi kwa watumishi wa…