Kakolanya aigomea Singida | Mwanaspoti

SIKU chache baada ya Kamati ya Nidhamu ya Singida Fountaine Gate kumuandikia barua kipa wao, Beno Kakolanya kwa ajili ya kujibu tuhuma zinazomkabili za kutoroka kambini na kuihujumu timu, staa huyo ameitikia wito huo, lakini amekataa kuhudhuria kikao. Kwa mujibu wa Singida Fountaine Gate, Kakolanya amejibu barua ya wito kuwa hataweza kufika kwenye kikao cha…

Read More

DC Simanjiro apiga marufuku usafishaji mashamba Langai

Simanjiro. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Festo Lulandala amepiga marufuku shughuli za usafishaji wa mashamba mapya kwa ajili ya kilimo Kata ya Langai, hatua inayolenga kutoa fursa ya kuchunguza na kusuluhisha migogoro ya ardhi inayolikumba eneo hilo. Hata hivyo, Lulandala ameunda kamati ya watu saba itakayokuwa na jukumu la kufanya uchunguzi wa kina…

Read More

DPP aita jalada kesi ya jaribio la utekaji wa ‘Big Tarimo’

Dar es Salaam. Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyopo Kinondoni imeshindwa kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo. Kesi inayowakabili mjasiriamali, Fredrick Said na wenzake watano ilikuwa imepangwa leo Alhamisi, Januari 9, 2025 kwa ajili ya usikilizwaji wa awali, kwa washtakiwa wangesomewa maelezo ya awali ya…

Read More

UN Secretary-General: Tanzania is a ‘Reference Point for Peace’, Calls for Meaningful National Dialogue Post-Election

“Tanzania continues to stand as a reference point for peace and social cohesion in Africa and the world.” These were the words of the United Nations Secretary-General, H.E. António Guterres, today upon receiving a Special Envoy carrying a message from the President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan. The message…

Read More

Wanaharakati waeleza namna ya kupata katiba mpya haraka

Azaki  za kiraia zimependekeza ili kupatikana kwa katiba mpya ndani ya mwaka mmoja baada ya uchaguzi, viongozi wote wa kisiasa, kijamii na kidini wanapaswa kuonyesha dhamira ya kweli ya kuhuisha mchakato wa katiba mpya kwa masilahi ya Taifa, badala ya masilahi binafsi au ya kisiasa. Dar es Salaam. Wakati vyama vya siasa nchini vikionyesha utayari…

Read More

Bank of Africa Tanzania yajipanga kuwapatia huduma bora za kidigitali wateja wake Zanzibar.

WANANCHI na wakazi wa Zanzibar wameaswa kuendelea kuchangamkia huduma na bidhaa kutoka Bank of Africa Tanzania kwa sababu serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inatambua mchango wa benki hiyo katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kukuza kwa uchumi wa wananchi.- Akizungumza kwenye Iftar iliyoandaliwa na benki hiyo mwishoni mwa wiki mjini Mtoni, Unguja, Zanzibar, Mkurugenzi…

Read More