MAOMBI 131 YA WAFUNGWA KUJADILIWA MWANZA
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini (CGP) Jeremiah Yoram Katungu, jioni ya leo tarehe 16 Oktoba 2024, amempokea Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Taifa, Balozi Khamis Kagasheki, pamoja na aliyekuwa Kamishna mstaafu wa Jeshi la Magereza, Juma Malewa. Ujumbe wa Bodi hiyo unatarajia kufanya kikao katika Mkoa wa Mwanza kujadili maombi ya wafungwa 131,…