Maximo ataka KMC itue anga za Azam
KOCHA wa KMC, Marcio Maximo ameanza kuipigia hesabu ndefu timu hiyo akitaka iwe kituo cha kuzalisha mastaa wakubwa wa Tanzania. Akizungumza na Mwanaspoti, Maximo alisema kikosi chake kinaundwa na wachezaji wengi vijana ambao ana hesabu nao kubwa. Maximo ambaye amewahi kuifundisha Yanga na Taifa Stars, alisema kiu yake kubwa ni kuwasuka vijana hao kuja kutawala…