Kambi ya figo Arusha kunufaisha wananchi 500 Kanda ya Kaskazini
Arusha. Katika kuadhimisha Siku ya Figo Duniani, Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) imeandaa kambi maalumu ya uchunguzi wa magonjwa ya figo, mfumo wa mkojo, pamoja na mishipa ya damu kwa wananchi wa Arusha na mikoa jirani. Huduma hizo zinazotarajiwa kufikiwa na zaidi ya wananchi 500 kuanzia Machi 9 hadi Machi 13, 2026, pia…