
Serikali yaonya wafugaji kuhusisha imani potofu kampeni chanjo ya mifugo
Chunya. Serikali Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya imeonya jamii ya wafugaji kuachana na dhana ya mila potofu kuhusishwa kwenye kampeni ya utoaji wa chanjo ya mifugo. Hatua hiyo imetajwa kuchangia kukwamisha mikakati ya Serikali na kuzorotesha ustawi wa mifugo na uchumi wa mtu mmoja mmoja, familia na Taifa kwa ujumla. Katibu Tawala Halmashauri ya…