Maana ya ‘SANDA’ iliyopo jezi ya Simba SC
SABABU ya jezi za Simba kuandikwa neno Sanda zimeelezwa,wahusika wamewatoa hofu waliozitafsiri vinginevyo, kutambua kwamba ni ubunifu walioamua kuja nao msimu ujao. Alipotafutwa Yusuph Yenga, ambaye ni msemaji wa Sandaland alisema walikaa chini na kuona msimu ujao waje kivingine na jina la Sanda ni la Sandaland mwenyewe, hivyo limefupishwa kwenye jezi. “Kuna mchakato mrefu unazingatiwa…