Watano wadakwa kwa usafirishaji wa bangi, mmoja wa pombe feki
Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi zenye uzito wa kilo 386 na gramu 80. Pia, jeshi hilo linamshikilia mtuhumiwa mwingine kwa madai ya kutengeneza na kusambaza pombe kali feki kwa kutumia majina ya kampuni mbalimbali za kutengeneza pombe kali. Kamanda wa Polisi…