RAIS MWINYI ATEMBELEA BANDA LA TANESCO SABASABA.
-Mkurugenzi Mtendaji Twange amkabidhi Jiko Janja -Ni katika kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi leo tarehe 07 Julai, 2025 ametembelea Banda la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam…