Valentino atabiriwa makubwa JKT Tanzania
KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema mshambuliaji wa timu hiyo, Valentino Mashaka ni mmoja wa wachezaji ambao taifa litajivunia hivi karibuni kutokana na kipaji chake, huku akimtabiria kufanya makubwa msimu huu kama atatuliza akili na kupiga soka. Ally alisema katika kikosi hicho ana nafasi ya kucheza na kuonyesha kiwango chake, lakini anachotakiwa Mashaka ni…