Taasisi za umma, sekta binasi Musoma zapewa siku 40
Musoma. Mkuu wa Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, Juma Chikoka amezitaka taasisi za umma na binfasi zinazotoa huduma ya chakula kwa watu kunzia 100 kuendelea kuhakikisha wanaanza kutumia nishati safi ya kupikia kabla ya Desemba 31, 2024. Chikoka ametoa wito huo baada ya kubaini taasisi nyingi wilayani humo bado hazijaanza mchakato wa kuhama kutoka katika matumizi…