Hersi: Yanga inakwenda kutimiza ndoto ya watoto Bongo
RAIS wa Yanga, Mhandisi Hersi Said amesema gharama za ada kwa Yanga Soccer School itategemea na maeneo ili kuhakikisha ndoto ya kila mtoto kuwa mchezaji inatimia. Leo, Yanga imezindua Yanga Soccer School kwa lengo la kuendeleza vipaji vya watoto, ambapo mgeni rasmi katika shughuli hiyo alikuwa kocha wa zamani wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini,…