
Mwabukusi: Hoja ya Chadema kuhusu ‘reforms’ ya kweli huwezi kuipuuza
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema yapo maeneo muhimu katika shughuli ya kuelekea uchaguzi mkuu yaliyotakiwa kufanyiwa marekebisho kutokana na changamoto zinazolalamikiwa, lakini hayakuguswa kufanyiwa marekebisho. Msingi wa kuyasema hayo unatokana na majadiliano na mijadala yaliyofanywa kati ya TLS na wadau mbalimbali ikiwemo asasi za kiraia juu ya kuelekea ushiriki wa…