RAS PWANI AANZA ZIARA MKOANI HAPA

Na Khadija Kalili   , Michuzi TV  Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani aanza ziara ya kikazi, asisitiza ubunifu katika miradi ya maendeleo Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, leo ameanza ziara yake ya kikazi katika Halmashauri za Mkoa wa Pwani kwa kutembelea Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha. Katika ziara hiyo, Mnyema amesisitiza umuhimu…

Read More

Simba ina vyuma vitatu, hivi hapa!

MABOSI wa Simba wanaendelea kufanya usajili wa mastaa wapya kimya kimya, huku tetesi zikisema hivi sasa imefikia makubaliano kamili ya kumsajili kiungo wa kati raia wa Senegal, Alassane Kante (24) kutoka CA Bizertin ya Tunisia, huku kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids akiwa kwenye mazungumzo na viungo wengine wawili. Msenegali huyo ambaye ameitumikia CA Bizertin…

Read More

Aviator na Super Heli inatoa mamilioni na JBL

  Wiki iliyopita walipatikana washindi wa promosheni ya kibabe, na wakaondoka na zawadi zao katika awamu ya kwanza, na sasa zawadi bado zipo nyingi sana Meridianbet awamu ya pili inaendelea kuchanja mbunga na wengi wanajishindia zawadi zao. Ili ushinde unatakiwa kucheza michezo pendwa ya kasino Aviator na Super HELI kwa dau dogo la kuanzia Tsh…

Read More

Miloud kuibuka na ‘Gusa Achia Pro Max’

KIKOSI cha Yanga kinashuka uwanjani leo kukabiliana na JKT Tanzania, lakini mashabiki wa timu hiyo watakuwa na shauku ya kujua ubora wa kocha mpya Hamdi Miloud basi Mwanaspoti linakupa kwamba jamaa ameibakisha ile falsafa ya Gusa Achia Twende Kwao kwa kuiboresha zaidi. Gusa Achia ni falsafa alikuja nayo Sead Ramovic alipotua Yanga akitokea TS Galaxy…

Read More