TANZANIA KUSHINDANA VIPENGELE 20 TUZO ZA UTALII DUNIANI

Na Mwandishi Wetu Tanzania imeingia kwenye kinyang’anyiro cha Tuzo za Dunia za Utalii ( World Travel Award 2025) baada ya kuteuliwa kushiriki katika vipengele 20 vyenye wagombea 24 vikiwemo taasisi na wadau mbalimbali wa sekta ya utalii. Akizungumza Oktoba 13, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upigaji kura, Mkurugenzi wa…

Read More

Yanga Omari afariki dunia | Mwananchi

Dar es Salaam. Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu jijini Tanga, Yanga Omari ‘maarufu rais wa Tanga’ amefariki dunia jana mchana (Desemba 27, 2024) akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Magereza. Yanga alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kupatikana na dawa za…

Read More

Simba, Dodoma Jiji kupigwa Jamhuri

HATIMAYE Uwanja wa Jamhuri, Dodoma umerejeshwa katika orodha ya viwanja vinavyotumika kwa michezo ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/2025, baada ya kufanyiwa maboresho katika maeneo ambayo yalisababisha upoteze sifa zilizoainishwa kwenye kanuni na sheria za mpira wa miguu. Tamko hilo la Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) ambalo lilitolewa jana, Jumapili limeifanya Dodoma Jiji…

Read More

RAIS SAMIA MGENI RASMI TUZO ZA WAANDISHI WA HABARI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wanahabari, maarufu kama Samia Kalamu Awards. Tuzo hizi zinalenga kuhamasisha uandishi wa habari za maendeleo kwa kufanya uchambuzi na utafiti wa kina, kuongeza maudhui ya ndani, kuzingatia weledi, maadili, uwajibikaji wa kitaaluma,…

Read More

SERIKALI YAJA NA MIKAKATI KUPUNGUZA FOLENI YA MALORI TUNDUMA

 :::::: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kufanya tathmini ya kutanua barabara katika  mpaka wa Tunduma unaopitisha magari yaendayo nchi jirani za Zambia na DR Congo ili kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo. Ulega ametoa agizo hilo akiwa Tunduma mkoani Songwe na kueleza kuwa Serikali inatambua changamoto wanayopitia wasafirishaji na…

Read More