
Msuva adai CHAN 2024 ina darasa kali
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ambaye anacheza soka la kulipwa nchini Iraq katika kikosi cha Al-Talaba SC, ameeleza kuwa mashindano ya CHAN 2024 yataacha somo kubwa kwa soka la Tanzania, ambalo linaweza kuwa msingi wa mafanikio katika mashindano yajayo. Msuva ambaye kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya Taifa Stars dhidi ya Burkina…