
Zamu ya Mtwara kampeni za Samia leo
Mtwara. Baada ya kufanya kampeni katika mikoa 13, mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuingia katika Mkoa wa Mtwara kunadi sera za chama hicho akiomba ridhaa ya kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Tanzania. Tangu chama hicho kizindue kampeni zake za uchaguzi Agosti 28, 2025 jijini Dar es…