
Chaumma yakumbushia uhaba wa sukari ikitoa njia kukomesha ikishika dola
Morogoro. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimewakumbusha wananchi madhila waliyopitia kuzuiwa sukari hadi zaidi ya Sh6,000 kwa kilogramu moja, kikisema endapo itaunda Serikali mabonde yaliyopo Mkoa wa Morogoro yatawekewa mkakati bora wa kilimo cha miwa. Kauli hiyo ya Chaumma imetolewa na mgombea mwenza wa kiti cha urais Devotha Minja leo Septemba 2, 2025 akiwa…