DKT NCHIMBI AWAHUTUBIA WANA LONGIDO,ARUSHA.
MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewahutubia Wananchi wa Longido kwenye mkutano mdogo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Polisi, leo Ijumaa Septemba 12,2025. Mara baada ya kuwasili eneo la Mkutano,Balozi Nchimbi alikaribishwa kwa kuvalishwa vazi la heshima la…