IGP, DPP kortini wakidaiwa kumshikilia waziri mstaafu kinyume cha sheria
Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) na wenzake wawiili akiwamo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO), wamefikishwa mahakamani kwa madai ya kumshikilia Waziri mstaafu, Geofrey Mwambe kinyume cha sheria. Shauri hilo la maombi namba 289778/2025 limefunguliwa na…