Shabiki Simba amfuata Tshabalala | Mwanaspoti
Unayajua mahaba binafsi wewe? Soma hapa! Shabiki mmoja wa Simba ameshtua baada ya kufika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi akimfuata beki wake mmoja wa zamani. Shabiki huyo, Shakur Abubakar, ambaye amegoma asipigwe picha akihofia kuchukiwa na wenzake wa Simba, amesema bado haamini kama Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amehamia Yanga. Shakur amesema…